| |||||||||||||
| |||||||||||||
|
AINA ZA HATARI / MFIDUO | MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI | KINGA | HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO |
MOTO |
Haiwaki.
|
|
Moto unapotokea katika eneo: vitenzi vyote vya kuzimia moto vinaruhusiwa.
|
MLIPUKO |
|
|
|
MFIDUO |
|
ZUIA MTAWANYIKO WA VUMBI!
|
|
Kuvuta pumzi |
Kikohozi. Kuumwa koo.
|
Mtambo wa kutolea nje.
|
|
Ngozi |
|
Glavu za kinga.
|
|
Macho |
Wekundu. Maumivu.
|
Miwani ya usalama.
|
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
|
Kumeza |
|
|
|
KUSAFISHA MWAGIKO | UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO | |||||||
Zoa dutu iliyomwagika katika vyombo. Osha salio kwa maji mengi. (Kinga ya ziada ya binafsi: kipumulio chujio P2 cha chembe zinazodhuru).
|
Ainisho ya EU Ainisho ya UN | |||||||
EMERGENCY RESPONSE | UHIFADHI | |||||||
|
| |||||||
|
|
DATA MUHIMU | |||
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA: PODA NYEUPE VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS): TLV: (chembechembe isiyokuwa na asbestosi na silika kama fuwele chini ya 1%) 10 mg/m³ (ACGIH 2001). MAK haijathibitishwa. |
NJIA ZA MFIDUO: Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi. HATARI ZA KUVUTA PUMZI: Kikolezo cha chembechembe yenye kusumbua yaweza kufikiwa haraka ikitawanywa. ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MFUPI: Yaweza kusababisha muwasho wa mekaniko. | ||
TABIA ZA KIMAUMBILE | |||
Kiwango myeyuko: 1540°C Uzito wiani: 2 g/cm^3 Umumunyifu katika maji: mbaya |
|||
DATA YA MAZINGIRA | |||
| |||
VIDOKEZO | |||
| |||
MAELEZO YA ZIADA | |||
| |||
| |||
© IPCS, CEC 2001 |