PERLITE ICSC: 1141
Oktoba 1995

CAS # 93763-70-3
RTECS # SD5254000
UN #
EC #
AINA ZA HATARI / MFIDUO MADHARA YA PAPO HAPO / DALILI KINGA HUDUMA YA KWANZA / UZIMAJI MOTO
MOTO Haiwaki.

Moto unapotokea katika eneo: vitenzi vyote vya kuzimia moto vinaruhusiwa.
MLIPUKO


MFIDUO


Kuvuta pumzi
Epuka kuvuta pumzi yenye vumbi laini au ukungu.
Hewa safi, mapumziko.
Ngozi
Glavu za kinga.

Macho
Miwani ya usalama.
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
Kumeza


KUSAFISHA MWAGIKO UFUNGASHAJI / UWEKAJI LEBO
Zoa dutu iliyomwagiga katika vyombo vilivyofunikwa; endapo inafaa, loanisha kwanza ili kuzuia vumbi. (Kinga ya ziada ya binafsi: kipumulio chujio P1 cha chembe ajizi).
Ainisho ya EU
Ainisho ya UN

HATUA ZA HARAKA UHIFADHI


IPCS
International
Programme on
Chemical Safety
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali na Tume ya Jumuiya za Ulaya © IPCS, CEC 2005

TAZAMA TAARIFA MUHIMU ILIYO NYUMA
PERLITE ICSC: 1141
DATA MUHIMU
HALI MAUMBILE; INAVYOONEKANA:
PODA NYEUPE HADI KIJIVU

VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELS):
TLV: 10 mg/m³ (kama TWA) (ACGIH 1995-1996)
NJIA ZA MFIDUO:
Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili kwa kuvuta pumzi ya erosoli yake.

HATARI ZA KUVUTA PUMZI:
Uvukizi ifikapo 20°C ni kidogo; hata hivyo, ukolezi wa chembechembe zinazopeperuka hewani unaokera unaweza kufikiwa haraka kwa kunyunyiza au kutawanywa hasa kama poda.

TABIA ZA KIMAUMBILE
Kiwango myeyuko: >1093°C
Uzito wiani (maji = 1): 2.2-2.4 (isiyomenyu); 0.05-0.3 (ikipanuka)
Umumunyifu katika maji: mbaya
DATA YA MAZINGIRA

VIDOKEZO
Kadi hii hupendekeza kwa paliti iliyo na chini ya moja kwa mia ya silika fuwele. Kupanuka (imewekwa joto la juu) paliti ni chembechembe. Kutegemeana na kiasi cha mfiduo, upimaji wa kitibabu wa mara kwa mara pendekeza. Kama paliti in zaidi ya moja kwa mia ya silika iliyo kama fuwele ona ICSC 0808.
MAELEZO YA ZIADA


TAARIFA YA KISHERIA Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya.
© IPCS, CEC 2005