Site hosted by Angelfire.com: Build your free website today!

[Mwanzo]    Rudi Table

 

[Wivu Ukizidi - Biashara Jazz Band]

 

Wivu ukizidi nyumbani 

Mapenzi yapungua

Wivu USIO NA MAANA waleta hasara,

Umepatwa kitu gani, 

Bibi umekataza kufanya kazi,

Ati sababu achelewa nyumbani.

 

Wivu unaleta ugonjwa ,ahhha, aahh,

Waacheni wake waende kazini , mama

Wivu ukizidi nyumbani .

(tarata tara tara tarata tara tararar)

 [Rudi mwanzo]

 

[MAGENGE MABAYA - Biashara Jazz Band] 

 

(Juma Ubao (King Makussa))

 

[Wote]

 

Magenge mengine mabaya

Watu wanapokusanyika

Wengine hufaidikaaaa

Wengine wanapotezwaa

Wengine huwadanganya wenzao

Kutaka maisha ya juu mama

 

 

[Abby]

 

Mimi nilioa mke juzi juzi toka kijijini

Matumizi yote ya nyuma yalikuwa mwisho wa mwezi

 

[Gaston] Nikipata mshahara wangu

 

[Abby]

Sasa siyo hivyo tena mara anataka kiatu cha ghorofa

Manukato,

kipini cha dhahabu 

 nywele za bandia...

Na khanga za mpunga wa kisele,

Sijui ni mtu gani anayemdanganya!

 

Magenge mengine mabaya..

 [Rudi mwanzo]